HALMASHURI YA WILAYA YA KAKONKO
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MTENDAJI KIJIJI III
Rejea tangazo letu la nafasi ya ajira ya mtendaji KijijiIII Lenye kumbukumu namba HW/KNK/S.40/LOV2/15 Tarehe 9/03/2020
Wafuatao wanatakiwa kufika kwenye suaili utakao fanyika tarehe 29/06/2020 katika ukumbi wa halmshauri saa 3.00 aubuhi
MAELEKEZO YA KUZINGATIA Wafike na vyeti halisi vya taaluma na kidato cha nne au sita
usaili utafanyika siku moja tu ya tarehe 29/06/2020 kuanzia saa3 asubuhi hivyo kila msailiwa anatakiwa kuzingatia muda
KUSOMA MAJINA HAYO PAKUA PDF HIYO HAPA Download