Tuesday, 29 September 2020

Call for general body checkup to be conducted by various Medical specialists at Morogoro Regional Referral Hospital on 05th-09th/10/2020

 

Announcement.
Hello everybody.
The Regional Medical Officer from Morogoro Regional Referral Hospital hereby informs any one who is willing to attend that there will be clinic conducted by Medical Specialists of almost all Medical specialities like: Obstetrics and Gynecology; Pediatrics; Opthalmology; Dental; Ear, Nose and Throat (ENT); Orthopedics and Traumatology; Surgery; Internal Medicine (example; Hypertensive heart diseases and Diabetes).
General body checkup including Hepatitis B &C, various tumor markers, Cervical cancer and  breast cancer screening will be done.

Venue: Morogoro Regional Referral Hospital
Date: 05th - 09th /10/2020
For more information and
 Registration contact 0767557009 or 0715235012

Please inform others as well.

PREVENTION FOR DISEASES IS BETTER THAN CURE.
The earlier, the better. 

Dr.Lyamuya,
Regional Medical Officer,
Morogoro Regional Referral Hospital.

TANGAZO:

Naomba kuwajulisha kua kutakua na kliniki zitakazoendeshwa na Madaktari bingwa Wa Magonjwa ya karibia idara zote za afya kama vile:

Magonjwa ya akina mama; macho; Meno; Watoto; Pia, koo na masikio;  Mifupa; upasuaji, magonjwa ya ndani kama Moyo, kisukari, shinikizo la damu n.k. Pia kutafanyika uchunguzi Wa afya ya mwili kwa ujumla kama vile vipimo vya saratani ya shingo ya kizazi, matiti, homa ya ini, moyo, viashiria vya saratani 

  kwenye damu.

Eneo: Hospitali  ya rufaa Mkoa Wa

 Morogoro.

Tarehe: 05-09/10/2020

Unaombwa kumjulisha na mwenzio anayeweza kufika ukipata taarifa hii.

Karibu upate  kuijua afya yako na kujikinga.

Kwa mawasiliano zaidi na kujiandikisha tumia namba za simu zifuatazo:

0767557009 au 0715235012

IMETOLEWA NA

DR. Lyamuya

Mganga Mkuu Wa Hospitali  ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro