Tuesday, 9 July 2019

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA UTHIBITISHO WA MATOKEO KWA WALIOPOTEZA VYETI VYA KIDATO CHA NNE, SITA NA UALIMU.






Taarifa kwa umma kuhusu utoji wa uthibitisho wa matokeo (statement of results) kwa wahitimu wa kidato cha nne wa kabla ya mwaka 2008, wahitimu wa kidato cha sita na ualimu wa kabla ya mwaka 2009 waliopoteza vyeti vyao na hawana sifa za kupata vyeti  mbadala. 




Kusoma Maelezo zaidi kuhusu tangazo hili bonyeza picha ya barua ifuatayo;




Kupata fomu za maombi ya uthibitisho wa matokeo kwa njia ya mtandao 






Au tembelea ofisi za NECTA zilizopo Dar es salaam na Dodoma.