Monday, 25 June 2018

UDAHILI KWA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KWA VYUO VYA SERIKALI NA VISIVYO VYA SERIKALI KWA MWAKA WA MASOMO 2018/19

 


Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwafahamisha wahitimu wa kidato cha nne na sita na umma kwa ujumla kuwa udahili kwa Mafunzo ya Ualimu ngazi yaAstashahada na Stashahada kwa mwaka wa masomo 2018/19 umefunguliwa rasmi kuanzia tarehe 22 Juni 2018 hadi tarehe 8 Septemba 2018 na Masomo yanatarajia kuanza tarehe 04 Octoba, 2018 kama ilivyoelekezwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

SOMA ZAIDI HAPA